Menu
 

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia
Zoezi la uchaguzi mdogo wa klabu ya Yanga linaanza rasmi hivi sasa katika ukumbi wa Diamond Jubelee, Dar es Salaam. Dua kwa imani ya dini za Kiislamu na Kikristo zimekwishasomwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Beer, wadhamini Wakuu wa Yanga, George Kavishe ametoa salamu zake na muda si mrefu Wagombea wataanza kujieleza mbele ya mamia ya wanachama hai waliojitokeza.
Ukumbi ulivyopendeza

Abel Mcharo aliyesoma dua ya Kikristo akisalimiana na Mussa Katabaro, pembeni yake kulia ni Clement Sanga, Yussuf Manji akisalimiana na Mzee aliyesoma dua ya Kiislamu na Abdallah Bin Kleb

Mapacha watano; Kutoka kulia Bin Kleb, Manji, Sanga, Katabaro na Lameck Nyambaya

Manji akiteta na Sanga

Mzee Akilimali katikati
Kulia kabisa Ibrahim Didi 'Yanga kweli', Mzee mmoja hii.
Kwa hisani ya ujanatz.blogspot.com

Post a Comment

 
Top