Menu
 

Sehemu ya samani iliyokuwa ikimilikiwa na marehemu Eva Emmanuel Mligula na Emmanuel Mwaigaga,iliyokuwa ikigombaniwa na ndugu zikiwa zimetolewa nje kwa lengo la kuhamishwa katika Mtaa wa Utukuyu,Kata ya Uyole Jijini Mbeya.
 Baba Mzazi na Kaka wa marehemu Eva wakiwa nje ya nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na  marehemu Eva Emmanuel Mligula na Emmanuel Mwaigaga katika Mtaa huo nayo iliingizwa katika mgogoro wa kugombaniwa,hali iliyopelekea Serikali kuingilia kati..
 Baadhi ya waombolezaji wakishuhudia tukio la kutolewa kwa vyombo vya marehemu vilivyokuwa vikigombaniwa na wanandugu.
 Mama mzazi wa marehemu Eva,anayefahamika kwa jina la Bi. Magreth Mzegeza(70) aliyevalia nguo nyeupe akiwa na baadhi ya waombolezaji.
 Moja ya magari yaliyotumika kuhamishia shehena ya mali za marehemu.
Sehemu ya Sebule ikiwa tupu baada ya vyombo vyote kubebwa na Kijana huyu alikuwa mstari wa mbele katika kuvitoa vyombo vya marehemu.(Picha na Ezekiel Kamanga,Mbeya).

Post a Comment

 
Top