Menu
 

*Ajali ya Moto yateketeza nyumba na watu watatu wahofiwa kufariki Ilemi Jijini Mbeya usiku wa kuamkia leo.

*Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa Wilayani Mbarali,Mkoani Mbeya wanadaiwa kumpiga mwanamke wa Kijiji cha Udindilwa,Kata ya Ruiwa baada ya kukataa kupokea hati ya wito ya mumewe na mwanamke huyo kufungua kesi mahakamani yenye nambari RUJ/IR/1058/2012.

*Majambazi yenye silaha yavamia Kijiji cha Isunda,Kata ya Kamsamba,Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Kwa habari zaidi endelea kutembelea Mtandao huu.

Post a Comment

 
Top