Menu
 Mkuu wa wilaya  ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio  jana akisikitikia  na kuona uchungu  utendaji wa ovyo  wa Mkurugenzi  na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo  mbele ya baraza la madiwani  mjini Namanyere kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi , Saada Mwaruka.
Mkuu wa wilaya  ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio  jana akisikitikia  na kuona uchunugu  utendaji wa ovyo  wa Mkurugenzi  na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo  mbele ya baraza la madiwani  mjini Namanyere.

Post a Comment

 
Top