Menu
 


Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Bongo,ambaye ameshawahi hiti na ngoma kama Bad Man D KNOB, ambaye pia anamiliki kampuni yake ya Kitaani Most Wanted amesema hivi sasa suala la kampuni yake imeshakamilika amejenga ofisi na ameshakamilisha mchakato mzima wa kuisajili kampuni hiyo na soon ataanza kusupport wasanii wachanga watatu ambao video zao zitatoka mwezi Septemba.

Mbali na hilo msaani huyo amesema hip hop ya sasa ni ya swagga na hip hop ya kweli ilikuwa ya enzi hizo ngoma kama Ndio Mzee zilikuwa zikihit.

Msikilize hapa wakati akifunguka kwa ujumla kuhusiana na gemu la muziki wa kizazi kipya.......


Post a Comment

 
Top