Menu
 

 Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilofanyika siku ya Jumapili pale Sheikh Amri Abeid Stadium tarehe 19 ilokuwa siku ya Idd El Fitr ilifana sana kwa umati wa wakazi zaidi ya elfu nne toka Arusha,Wasanii wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM Arusha.Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na mambojamboradio.comPost a Comment

 
Top