Menu
 

Mwanamke ambaye hakufahamika jina lake akiwa amenasa katika seng'enge alipojaribu kutumia njia isiyo halali kufika lilipo bwawa dogo la maji aliyokuwa akiyahitaji kwaajili ya matumizi katika Uwanja wa maonesho ya wakulima(Nane nane )Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa John B. Mwakangale jijini Mbeya
 Watoa huduma za vyakula katika Uwanja wa John B. Mwakangale jijini Mbeya yanakofanyika maonesho ya wakulima nanenane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiendelea kuwatayarishia wateja wetu kama walivyokutwa na kamera yetu muda mfupi uliopita
Picha kwa hisani ya LYAMBA LYA MFIPA Blog.

Post a Comment

 
Top