Menu
 

Ndugu Mdau!!.,
Dada yetu Juliana Pierre anaitaji sana msaada wenu wa kuweza kumtangaza kwa ajili ya Fainali
alizoingia za Miss East Africa Belgium 2012.
Anahitaji kuweza kupata watu wengi zaidi kwenye ukurasa wake wa Facebook zaidi ya washiriki wenzake kwa kuingia na ku bonyeza "like" kwenye link hii:http://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Nimeambatanisha na tangazo husika.
Wasalaam
Emmanuel N.M.Manase
Image Profession
P.O.Box 92
Dar es salaam

Post a Comment

 
Top