Menu
 

What a headache: A young Chinese boy gets himself wedged in a gap in a concrete balustrade

LOL its funny but ist sad too, how on earth did he manage to do that? 
Maskini pole mwaya, hahaha watoto jamani wana vituko kweli sasa huyu kacheza sijui kajiingizaje kichwa kwenye tundu la balcony hapo, ? watu wa fire walijitahidi kumtoa bila mafanikio, ikabidi wavunje ukuta kiutaalam na kumtoa dogo huyo ambaye hakuumia hata kidogo bali alikua alikia kwa uoga wa alichofanya. Dogo alikabidhiwa kwa bibi yake na life ikaendelea but nahisi amekoma hatarudia tena hahahaha pole toto tundu.
 
 
 

Post a Comment

 
Top