Menu
 

Utata wa Kucopy Beat.
Sikiliza kwa makini!! Kuna mfanano wa Beat na Style ya uimbaji wa Chorus.


1. SHAYMAN - FENDELA FENDUZE2. TID feat NGWAIR - KIUNO NGOMA ya SHAYMAN - FENDELA FENDUZE ni Mzambia ambaye anafanya vizuri na ilitoka mwaka 2008 na Ujumbe wa ngoma hii moja kwa moja umebeba uhalisia wa kumsifia binti mwenye mvuto wa aina yake,hali kadharika pia T.ID naye kafanya kilekile kwa staili hiyo
hiyo.

Sikiliza kwa makini kutokana na kuwepo kwa maswali mengi kutoka kwa wadau yamekuwa yakiuliza juu ya mfanano unaoelekeana katika Beat na staili ya uimbaji ya wasanii hawa.
Chris Bee (Bomba FM Mbeya)
+255656 117 664

Post a Comment

 
Top