Menu
 

Jinsi ya kuwapigia kura AY na Cpwaa kwenye tuzo za Channel O


AY na Cpwaa wametajwa kuwania tuzo kwenye Channel Music Video Awards 2012. Kilichobaki ni watanzania kuwapigia kura kwa wingi ili tuzo zije nyumbani.

Hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya.

AY MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR

AY ft Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 14J kwenye simu yako na tuma ujumbe kwenda +27 83 920 8406 (makato ni ya meseji ya kawaida)

MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO

AY ft Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone andika 13C kwenda +27 83 920 8406

MOST GIFTED MALE VIDEO

AY ft. Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 1E kwenda namba hiyo juu

MOST GIFTED DANCE VIDEO 

Cpwaa – Hmmm andika 5F kwenda namba hiyo hiyo.

Unaweza kupiga kura kwenye website ya Channel O


AU

Facebook

http://www.facebook.com/channelotv

Post a Comment

 
Top