Menu
 

       Zikiwa zimepita siku chache baada ya ney wa mitego kuthibitisha kauli yake kwamba makahaba waliokubuhu wako bongo movie na kusema endapo atatokea mtu wakumpinga atawataja kwa majina wale wote wanaofanya biashara hiyo mambo yamekuwa mambo.

       Katika tamasha la muziki maarufu kama FIESTA ambapo msimu huu limepewa jina la FIESTA BHAAASSS MUONEKANO MPYA BURUDANI ILE ILE  yametokea mambo ambayo katika hali ya kawaida sio mazuri kwa jamii.

      Mambo hayo ni yale yanayofanywa na dada zetu kutoka bongo movie namaanisha Wema sepetu na Aunt ezekiel. kwa mwaka huu tamasha hili la fiesta limekuwa tofauti mno kwani ukiachilia mbali wasanii {waimbaji} wanaozunguka katika mikoa mbalimbali wamekuwa wakiambatana na waigizaji kutoka bongo movie.

      Lakini kwa takribani show kadhaa tumeshuhudia dada zetu hawa wakiwa wamevaa mavazi ya aibu mno yanayo wafanya kuonesha maungo yao nyeti kama wema anavyo onekana katika picha hapo juu.

     Aunt ezekiel wiki iliyopita aliomba msamaha kwa kusema kuwa hakutarajia kuonesha chupi yake katika picha aliyopigwa alipokuwa anacheza muziki, lakini kwa wema sasa hii noma naye atasema hakutarajia kutuonesha ''makalio yake''?

      Kwa hali hii hakuna ubishi kwa kauli ya ney wamitego aliposema makahaba waliokubuhu wako bongo movie kwani kama ni mwanamke wa kawaida huwezi kuonesha makalio yako kirahisi hivi au upo biasharani??
 
Soma zaidi hapa http://mau2ndudj.blogspot.com?
 

Post a Comment

Anonymous said... 1 October 2012 at 08:42

Hakuna cha msingi........kwani hao wakina wema walipigwa picha mchana wakitembea au usiku wa burudani..?kwani wa mziki wao wanavaa nini wakienda party au magagulo na magauni ya born again.........aache ya watu aimbe mziki for MC and well known hauwezi judge wenzako kama uko buzy sokoni na studio.

 
Top