Menu
 

 Hivi Ndivyo hali ilivyo Nje ya uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya 
 Hivi Ndivyo Uwanja wa Sokoine unavyo onekana Muda huu 


 Mashabiki Kibao wamefika shuhudia Mechi hii ya kati ya Yanga na Prisons Mbeya 
 Waandishi wa Habari nao Kibao wapo eneo la uwanjani sasa kupata yanayo jili huku Mbeya yetu tukiwa Live.
 Timu ya Yanga ikiwa inaingia sasa
 Watu ni wengi sana Uwanjani sasa
 Sasa Timu Zote pamoja na ma Refa wanaingia uwanjani
 Timu ya Yanga uwanjani 
 Prisons nao uwanjani sasa 
 Kocha wa Yanga amejishika Kiuno sasa
Mkuu wa Mkoa akikagua timu zote mbili sasa 
 Mgeni Rasmi katika Mechi hii Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro akiwa anaingia uwanjani hapa 

 Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa Akizungumza na wachezaji kuwa wacheze kwa amani


 Huko Nje Nako watu ni wengi bado wanataka Kuingia uwanjani 

 Na Mpira umeanza sasa 
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

Post a Comment

 
Top