Menu
 

Habari za kusikitisha zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Agness Yamo, (pichani)  amefariki Dunia leo katika hospitali ya Jeshi, Lugalo.


Aidha imeelezwa kuwa shughuli za maziko zitafanyika huko nyumbani kwa kaka yake Buguruni jijini Dar es Salaam. 

Mungu ailaze roho ya marehemu Agness Yamo, mahala pema peponi, Amina
Taarifa zaidi kuhusu msiba huo mzito kwa tasnia ya habari tutawajuza kadri zitakavyotufiki.

Post a Comment

 
Top