Menu
 

Sikiliza na download ngoma hii yenye mashairi yaliyo na utunzi wa aina yake? Ki ukweli ni wasanii wachache katika Bongo HipHop ambao huandika mashairi yenye Ujumbe uliobeba uhalisia wa jambo fulani katika Jamii inaayotuzunguka kwa kila mmoja wapo katika maisha ambapo hits zao huelimisha na vilevile huelimisha kutokana na uelewa na umakinifu wao katika ufasini wa kazi husika.

Ngoma inafahamika kwa Jina la TENZI ZA DUNIA ikiwa ni utunzi na rap ya Msanii SAMICHO akiwashirikisha JAY P na ISS MATERIAL,tushirikiane kwa pamoja katika kusapoti muziki wa Bongofleva ili uweze kufikia maalengo ya kuuza katika nyanja za kimataifa. 
Phone no* +255713251540


Artist:- Samicho ft Jay P & Iss Material

Song Name:- Tenzi za Dunia
Phone no* +255713251540

Post a Comment

 
Top