Menu
 

Rihanna.
Kama unakumbukumbu Chris Brown alishtakiwa kwa kumpiga Rihanna mwaka 2009,na kutokana na kosa ilo alitakiwa kufanya kazi za kijamii kwa kipindi cha miezi sita. Jana siku ya Jumatatu Chris alipandishwa kizimbani kutoa nyaraka za kuwa amemsaliza adhabu aliyopewa ya kuihudumia jamii kwa kipindi cha miezi sita.

The hearing was postponed to today, after there were some questions about how many hours Chris had actually performed.

Wakati bado wengi wanajiuliza mambo aliyofanya Chris Brown kwa miaka mitatu iliyopita, but masaa machache kabla ya kuingia mahakamani, Ex- girlfriend wa Chris Brown, Rihanna alitweet directly massage kwa Chris akisema:
Chris akuchukua muda alijibu hivi:
Baada ya Chris kujibu, Rihanna alituma massage ya jumla ikisema hivi:
But the well wishes from Rihanna could play a key role in the future of the couple.
Na kama tunavyokumbuka week kadhaa zilizopita Rihanna alimwambia Oprah kuwa bado anampenda Chris kupitia kipindi chake cha next chapter , na sasa yamejitokeza haya, Isn’t it time for them to just get back together?!.

Post a Comment

 
Top