Menu
 

Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa Uchungu Muda huu
 Maelfu ya  watu wakiongezeka kufika katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Chanel Ten Daudi Mwangosi Muda huu
 Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salam kwa Niaba ya Serikali
 Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliaza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu
 Mjane Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi aliyejishika, akiwa na uchungu muda huu
Ibada ikiwa inakaribia kuanza
 Ibada ya mazishi ndio imeanza muda huu
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi Makubwa
Waandishi wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe .

Endelea kufuatilia Moja kwa moja hapa

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

Post a Comment

 
Top