Menu
 

Crash: The accident occurred when Diddy's chauffeur-driven Cadillac Escalade collided with a Lexus RX vehicle
P Diddy aliedaiwa kuumia alionekana amelala chini kwenye majani pembeni ya gari lake huku akiugulia maumivu aliopata kutokana na ajali hio, huku akitetemeka kwa shock....Kwa mujibu wa TMZ  watu waliokua karibu na tukio walikimbilia kwenda kusaidia huku wakipiga 911 ambapo ambulance zilifika ndani ya dk chache na kuanza kumpa huduma ya kwanza. Police nao hawakua mbali katika kushuhudia sakata hilo ambapo walikuta waote wakina Diddy na mpambe wake wanalalamika maumivu na gari lililogongana nao pia abiria wake wakilalamika maumivu, hata hivyo mpk habari zinaufikia mtandao wa TMZ hakuna aliepelekwa hospital au haikujulikana kama waliumia sana au kidogo tu....
1024_pdiddy_accident_3_wm
Rapper maarufu nchini hapa Puff Daddy a.k.a P Diddy mwenye jina halisi la Sean Combs, ameripotiwa kupata ajali mbaya sana jioni hii akiwa na gari lake aina ya Cadillac Escalade aliokua anaendesha dereva wake,  iliogongana na gari nyingine aina ya Lexus RX mitaa ya Sunset Boulevard huko Beverly Hills.  

Post a Comment

 
Top