Menu
 

Soko la Mwanjelwa ambalo linatarajiwa kukabidhiwa November Mosi mwaka huu uenda lisikabidhiwe kama inavyokusudiwa kutokana na wafanyakazi wa ujenzi wa soko hilo kufanya mgomo baridi kutokana na kile walichokieleza kuwa hawajalipa mishahara yao kwa muda mrefu.

Mkurugenzi wa Jiji JUMA IDI athibitisha na kusema suala hilo linashughulikiwa na sasa Milioni 10 zimetolewa na mkandarasi huyo kwa lengo la kulipa sehemu ya pesa anayodaiwa.

Post a Comment

 
Top