Menu
 


Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi, akimtoka mdogo wake, Haruna Moshi, kiungo aliyesimamishwa Simba SC katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi, akimtoka mdogo wake, Haruna Moshi, kiungo aliyesimamishwa Simba SC katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Kiungo wa Coastal Union, Mohamed Bins Slum akiwatoka wachezaji wenzake wa Al Nasri, Hussein Kaburu kushoto na Nizar Dunga kulia. Pembeni kabisa kulia ni Juma Nyosso akiwa tayari kutoa msaada kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Beki aliyesimamishwa Simba SC, Juma Nyosso akipiga mpira kichwa mbele ya mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Mohamed Kijuso katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Hussein Kaburu akimtoka Bin Slum, kulia ni Dunga

Boban akitoa pasi mbele ya Dunga na Diata

Mohamed Bin Slum akimiliki mpira mbele ya Hussein Kaburu na Juma Nyosso

Juma Nyosso akiosha

Rama Twite kulia akiondoka na mpira huku akimuacha hoi Nassor Bin Slum

Iddi Moshi kulia akiwa ng’ado kwa ng’ado na Haruna Moshi

Rama Twite akiondoka na mpira huku Nassor Bin Slum akionyeshana kazi na bwana mdogo

Nassor Bin Slum akimkwatua kwa nyuma Haruna Moshi

Cheki beki anavyokaba…

Cheki beki anavyokaba…
source Bin Zubeiry

Post a Comment

 
Top