Menu
 

Kushoto ni mtoto Aneth akiwa amesimama huku mkono wake uliyo unguzwa ulivyo kuwa unaonekana mara baada ya tukio hapo juzi. Kulia mtoto Aneth anaonekana akiwa amelaza katika hospitali ya Rufaa Mbeya mara baada ya kukatwa mkono wake wa kushoto. Kwa habari kamili kuhusu mkasa huu bofya hapa
Kusema ukweli haijalishi huyu mtoto alifanya kosa gani hakusatahili adhabu kama hii na hatimaye kupoteza mkono wake. Hivi kweli atakuja kumsamehe huyo mama yake mdogo? Kuna binadamu wakatili sana duniani hapa. Mungu atusaidie na kutupatia roho za upendo na huruma. Ni matumaini yangu sheria itachukua mkondo wake na huyo mama aadhibiwe ipasavyo.

Picha kwa hisani ya Kalulunga Blog

Post a Comment

 
Top