Menu
 

 Ajali mbaya imetokea eneo la ILEMI Jijini MBEYA muda huu ambapo gari aina ya TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya imegonga watu watatu huyu ni mmoja wa waliogongwa. 

SAMAHANI KWA PICHA HII CHINI NIMELAZIMIKA KUIWEKA ILI UPATE HALI HALISI YA KILICHOTOKEA.
 Mwenyezi Mungu ambariki ili aweze kupona.
Gari aina ya TOYOTA LANDCRUISER iliokuwa ikitokea Wilaya ya Chunya imegonga watu watatu huyu ni mmoja wa waliogongwa.

Post a Comment

Tina Ndonde said... 16 December 2012 at 05:47

LORD HAVE MERCY jamaniii , hizi ajali jamani mmh so scary

 
Top