Menu
 

 Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADE,A) akiwa juu ya gari lake, akiwasihi wakereketwa wa chama hicho kutoingilia Mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), uliofanyika eneo la Stendi ya daladala ya Kabwe Jijini Mbeya.
 Taswira kamili ya Mbunge akizungumza na wanachama wa CHADEMA
 Taswira kamili ya hatua waliyokuwa wameifikia wanachama wa CHADEMA kwa ishara ya kuwa CCM imezikwa kaburini.
Picha na Mpiga picha wetu Ezekiel Kamanga,Mbeya.

Post a Comment

 
Top