Menu
 

Kiumbe wa ajabu azaliwa Mbeya, Viungo vyake vyazua gumzo macho yake yako katikati ya paji la Uso akosa Pua ila ana mdomo..!!!
 Mama aliyejifungua kiumbe wa ajabu Bi. Melina Wilson mwenye umri wa miaka 17.
Baba mzazi wa kiumbe wa ajabu Bwana Emmanuel Mbukwa mwenye umri wa miaka 24.(Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya.)

Post a Comment

 
Top