Menu
 
Kocha wa Taifa Stars Kim Puolsen ametangaza wachezaji 21 watakaounda kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Cameroon.
Kocha wa Taifa Stars Kim Puolsen ametangaza wachezaji 21 watakaounda kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Cameroon.

Kocha wa Taifa Stars Kim Puolsen ametangaza wachezaji 21 watakaounda kikosi cha Taifa Stars ambacho Jumatano wiki ijayo kitacheza na Ca...

Read more »

Klabu ya Shanghai Shenhua ya China imedai kuwa Didier Drogba  bado hajamaliza mkataba wake.
Klabu ya Shanghai Shenhua ya China imedai kuwa Didier Drogba bado hajamaliza mkataba wake.

Klabu ya Shanghai Shenhua ya China imedai kuwa mshambuliaji nyota wa kimataifa wa Ivory Coast Didier Drogba hana haki ya kusaini mkataba ...

Read more »

TAIFA STARS ma CAMEROON kuchezo mechi ya kirafikia Februari 6 mwaka huu Jijini Dar es Salaam.
TAIFA STARS ma CAMEROON kuchezo mechi ya kirafikia Februari 6 mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

Na Shaban Kondo, Shirikisho la soka nchini TFF limethibitisha mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania (Ta...

Read more »

VIDEO MPYA:- AZMA Ft KITA KIPIMO CHA PENZI
VIDEO MPYA:- AZMA Ft KITA KIPIMO CHA PENZI

Tembelea YOU TUBE pia Bofya link hii:- http://www.youtube.com/watch?v=23ucJIZZMk8&feature=youtu.be

Read more »

Hatarini kukubwa na Ugonjwa wa mlipuko kutokana na hali mbaya ya vyoo.
Hatarini kukubwa na Ugonjwa wa mlipuko kutokana na hali mbaya ya vyoo.

  Wa n afunzi wa shule ya msingi Nero Jijini Mbeya wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na hali ya vyoo wanavyotumi a ....

Read more »

Chama cha wendesha bajaji  mkoani Mbeya kimetoa misaada mbalimbali katika  kituo  cha kulea watoto yatima.
Chama cha wendesha bajaji mkoani Mbeya kimetoa misaada mbalimbali katika kituo cha kulea watoto yatima.

Mwenyekiti wa umoja Bajaji Mbeya Bw.Idd Ramadhan  Chanzo:- Bomba FM 104.0MHz   Chama cha wendesha bajaji  mkoani Mbeya kimetoa mi...

Read more »

Kamati ya uchaguzi ya TFF imeendelea imetoa taarifa ya kurekebisha orodha ya pingamizi iliyotolewa katika vyombo vya habari.
Kamati ya uchaguzi ya TFF imeendelea imetoa taarifa ya kurekebisha orodha ya pingamizi iliyotolewa katika vyombo vya habari.

Na Shaban Kondo, Kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka nchini TFF imeendelea imetoa taarifa ya kurekebisha orodha ya pingam...

Read more »

SHITAMBALA KUONGOZA MAANDAMANO WANANCHI 5000 KUMVAA KANDORO KUPINGA KUHAMISHWA
SHITAMBALA KUONGOZA MAANDAMANO WANANCHI 5000 KUMVAA KANDORO KUPINGA KUHAMISHWA

MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa  Bw.Sambwee Sitambala Asema  yatakuwa ya amani bila  Vurugu Asema  sera ya  CCM ni kutetea  wa...

Read more »

AC MILAN inapewa nafasi kubwa ya kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji  Super Mario Balotelli.
AC MILAN inapewa nafasi kubwa ya kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji Super Mario Balotelli.

Na Shaban Kondo. Klabu ya AC MILAN ya nchini Italia inapewa nafasi kubwa ya kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji kutoka nchini humo n...

Read more »

"WOMEN DO HAVE MEN IN BENEFITS AS WELL, AS WELL AS MEN DO HAVE WOMEN IN BENEFITS" VALENTINE ARTIST
"WOMEN DO HAVE MEN IN BENEFITS AS WELL, AS WELL AS MEN DO HAVE WOMEN IN BENEFITS" VALENTINE ARTIST
Read more »

Chama cha madereva bajaji mkoani Mbeya kimedhamiria kurejesha shukrani zake kwa wateja
Chama cha madereva bajaji mkoani Mbeya kimedhamiria kurejesha shukrani zake kwa wateja

Mwenyekiti wa umoja Bajaji mbeya Bw.Idd Ramadhan   Chama cha madereva bajaji mkoani Mbeya kimedhamiria kurejesha shukrani zake kwa ...

Read more »

Meya Jiji la Mbeya asema wana mikakati juu ya kulijenga jiji la Mbeya.
Meya Jiji la Mbeya asema wana mikakati juu ya kulijenga jiji la Mbeya.

  Meya wa Jiji la Mbeya  Athanasi Kapunga, Chanzo Bomba FM, Mbeya. Mstahiki meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga  amesema  k...

Read more »

 Chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza PFA, kimemkana winga kutoka nchini ubelgiji na klabu ya Chelsea Eden Hazard.
Chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza PFA, kimemkana winga kutoka nchini ubelgiji na klabu ya Chelsea Eden Hazard.

   Eden Hazard   Na Shaban Kondo.  Chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza PFA, kimemkana winga kutoka nchini ubelgiji na klab...

Read more »

Real Madrid  wameendelea kuongoza katika orodha ya vilabu vinavyoingiza fedha nyingi zaidi duniani.
Real Madrid wameendelea kuongoza katika orodha ya vilabu vinavyoingiza fedha nyingi zaidi duniani.

  Na Shaban Kondo.   Mabingwa wa soka nchini Hispania Real Madrid  wameendelea kuongoza katika orodha ya vilabu vinavyoingiza fedha n...

Read more »

TBL yakabidhi vifaa vya Michezo kwa Klabu kongwe nchini Simba na Yanga,
TBL yakabidhi vifaa vya Michezo kwa Klabu kongwe nchini Simba na Yanga,

Na Shaban Kondo,  Wadhamini wa klabu kongwe nchini Simba na Yanga, kampuni ya bia nchini TBL kupitia bia yake ya Kilimanjaro jana wameka...

Read more »

Wadhamini wa ligi kuu ya soka Tanzani bara wametangaza kuwa tayari kwa kipyenga cha mzunguko wa pili wa ligi hiyo'
Wadhamini wa ligi kuu ya soka Tanzani bara wametangaza kuwa tayari kwa kipyenga cha mzunguko wa pili wa ligi hiyo'

Na Shaban Kondo. Wadhamini wa ligi kuu ya soka Tanzani bara wametangaza kuwa tayari kwa kipyenga cha mzunguko wa pili wa ligi hiyo kitak...

Read more »

TUKIWA BADO KATIKA UCHAGUZI WA TFF.
TUKIWA BADO KATIKA UCHAGUZI WA TFF.

Bwana Fredrick Mwa kalebela ali ekua Kat ibu Mkuu wa TFF   Aliekua katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini TFF Fredrick Mwakalebe...

Read more »
 
Top