Menu
 

Kocha wa Taifa Stars Kim Puolsen ametangaza wachezaji 21 watakaounda kikosi cha Taifa Stars ambacho Jumatano wiki ijayo kitacheza na Cameroon katika mchezo wa kirafiki unaotambuliwa na kalenda ya FIFA. Kambi itaanza rasmi Jumapili jioni baada ya michezo ya Ligi Kuu. Wachezaji hao ni:

MAKIPA: Juma Kaseja (Simba), Mwadini Ali (Azam) na Aishi Manula (Azam).

MABEKI: Erasto Nyoni (Azam), Nassoro Cholo (Simba), Aggrey Morris (Azam), Nadir Haroub (Yanga), Kelvin Yondani (Yanga), Shomari Kapombe (Simba) na Issa Rashid (Mtibwa Sugar).

VIUNGO: Amri Kiemba (Simba), Simon Msuva (Yanga), Frank Domayo (Yanga), Shabani Nditi (Mtibwa Sugar), Salum Abubakar (Azam), Khamis Mcha (Azam), Athuman Idd (Yanga) na Mwinyi Kazimoto (Simba).

WASHAMBULIAJI: Mrisho Ngasa (Simba), na Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu

Post a Comment

 
Top