Menu
 Aliesuka twende kilioni ndio mke wa kigogo  akiinamisha kichwa chini na kujificha kwa mikono kukwepa kupigwa picha.
Kweli ndio maana watu wanasema uchangu watu wengine ni hobby na wala sio ziki kama inavyojuliakana, pichani ni mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza akidawa uroda. 

Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina la Mama Amina zinadai kuwa yeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.

Mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza jiji Dar es Salaam.
Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo mwenye mke huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach . Mpambe alisikika akinyetisha saga hili na kudai, ''Huyu Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...Cha  kushangaza ni kwamba  kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.

Mwandishi wa habari hii jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa hao wakipelekwa Mahakamani kwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.

Habari na Xdjayz

Post a Comment

 
Top