Menu
 

Kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kimetajwa na kocha mkuu wa timu hiyo Roy Hodgson kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Brazil utakaochezwa February 6.

Upande wa makipa yupo;

Jack Butland pamoja na Joe Hart

Mabeki ni: Leighton Baines, Gary Cahill, Ashley Cole, Phil Jagielka, Glen Johnson, Joleon Lescott, Chris Smalling pamoja na Kyle Walker


Viungo ni: Michael Carrick, Tom Cleverley, Steven Gerrard, Frank Lampard, Aaron Lennon, James Milner, Leon Osman, Alex Oxlade-Chamberlain, Theo Walcott pamoja na Jack Wilshere


Washambuliaji ni: Jermain Defoe, Wayne Rooney, Daniel Sturridge, pamoja na Daniel Welbeck.

Post a Comment

 
Top