Menu
 

Kupitia mitandao tofauti ya kijamii, baadhi ya watu maarufu wameonekana wakiandika mawazo yao tofauti juu ya uamuzi alioutoa Bw. Ruge Mutahaba wa kutopiga nyimbo za Bongo Flava siku nzima ya jana katika kituo cha radio cha Clouds FM...
Check baadhi ya posts za baadhi ya wasanii na watu maarufu kuhusiana na tamko hilo hapa chini ...
Bw. Ruge Mtahaba alitamka hayo wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi asubuhi cha Power BreakFast wakati alipokuwa akiongelea ishu nzima kuhusu yeye na Mwanamuziki Lady Jaydee ...
#GongaMx

Post a Comment

 
Top