Menu
 


Kitu mapenzi jamani hakuna asiyekijua na moyo ukipenda vigumu kuuzuiaa, mnaambiwa msiingilie wala kushadadia ugomvi wa wawili wanaoongea wakiwa uc***i maana watapatana tu alafu mtaumbuka, basi hiki ndicho kilichotokea kwa Hammer Q na mkewe bibie Salha, pamoja na kupewa kipigo cha haja na mumewe hadi kumpelekea kushonwa nyuzi kadhaa mwilini mwake lakini hiki ndicho alichoandika bibie huyu SALHA muke halali wa HAMMER Q katika account yake ya facebook, WAMBEA MPOOOO!!! MLOKUWA MNASHABIKIA AACHANE NA MUMEWE!! EHEHEEIIYAAAA!!! MNAUMIAJE SASA..!!Matatizo ameumbiwa binaadam na binaadam ndie anaeyakuza matatizo Kwa binadam mwenzake Na anadiriki kuinyima furaha na amanai nafsi ya mwenzake yote hii ni 7Bu ya roho mbaya. Kuna binadam Wengine Hufurahia kuona binadam mwenzake anapata matatizo Bila ya kukumbuka kuwa matatizo ni kama rizki leo kwa mwenzako kesho kwako,wengine ni watu wazima Ila wamekosa fikra na upeo lkn wamejaaliwa mvi na umri Tu hawana ubinadam.kuna watu wamefurahi baada ya matatizo yangu na mume wangu wengine wameandaa sherehe wengine wanadiriki kutuma sms kwangu eti kwamba hapo bado na tutazidi kuwavuruga, na sms nying nying zenye mafumbo ...dah poleni sana wenye roho nyeusi mulizopewa nyakati za usiku zenye nyota za kichawi ila mungu ndo kiboko yenu 7bu mungu hafananishwii. Kauli ya mwisho ni inayotoka moyoni mwangu na itakayoendelea kutoka mpaka mwisho wa pumzi yangu Mbali na maneno mengi yaliokwisha semwa sehem mbalimbali na kuandikwa lkn mimi ndo muamuzi wa mwisho .nina umri mdogo lkn mungu ameniumba na hekma na busara (asante mungu) na km muliweza kuyaongelea wakati wa matatizo pia kumbukeni kuyaongelea na wakati wa furaha pia kumbuka mungu amemuumba binadam..Lkn Na binadam amejikabizi maslahi ya uovu ktk mdomo wake kuongea anachotaka ilimradi aonekane bora bila ya kumkumbuka aliemuumbA. juwa kwamba binadam Alie buni dawa ndie aliebuni ugonjwa na aliebuni silaha ndie mchochezi wa vita ilimradi afanye biashara zake anenepe na familia yake..namshkuru mungu naendelea vizuri tna sana nawashkuru mlokuja kuniangalia nawashkuru munaonijali mpakamda huu nawashkuru pia mulionishauri mazuri na mabaya nyote ni muhimu kwangu kiroho safi nitaendelea kuwa -_--
Salha wa hammer Full stop nampenda mume wangu 
Usiku mwema
KILA LA KHEIR SALHA HOPE MTAISHI VYEMA NA MUMEO NA WENYE VIJIBA NA KUTAKA KUWAARIBIA WATASHINDWA KWA NGUVU YA ALLAH SUBHANNAH

Post a Comment

 
Top