Menu
 

makahaba-ngono-zembe

Licha ya kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Ukimwi, Mkoa wa Mbeya bado unatajwa kuwa eneo lililokithiri kwa vitendo vya ngono bila kuwa na tahadhari (ngono zembe).

Sababu kubwa ya hali hiyo inaelezwa kuwa ni kuwepo kwa maegesho ya malori ya mizigo yanayoelekea Zambia huku madereva wake wakitajwa kuwa wateja wakubwa wa ngono.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti la Mwananchi Jumamosi katika maeneo yanayotajwa kwa biashara ya ngono yaani..Read More

Source: Mwananchi

Post a Comment

 
Top