Menu
 

RAISI KIKWETE AKIWASILI KATIKA UWANJA WA SOKOINE KWA AJILI YA KILELE CHA MEI MOSI.
BAADHI YA VIKUNDI VYA  BURUDANI VIKITUMBUIZA UWANJANI HAPO.

BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA KUTOKA KIWIRA IKIONGOZA MANDAMANO KUINGIA UWANJANI. 

RAISI PAMOJA NA MEZA KUU WAKIPIGA MAKOFI KUASHIRIA KUPOKEA MAANDAMANO.

VIKUNDI VIKIINGIA UWANJANI KWA MAANDAMANO YALIYOPITA MBELE YA RAISI.
UONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA JIJI LA MBEYA HAWAKUWA NYUMA.


SKAUTI PIA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI KWA UKAKAMAVU MKUBWA.BAJAJI NAZO HAZIKUWA MBALI KUSHIRIKI MAANDAMANO HAYO.


MHESHIMIWA RAISI AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI NA WAFANYAKAZI WALIOKUSANYIKA UWANJANI.


RAISI KIKWETE AKITOA TUZO KWA WAFANYAKAZI BORA BAADA YA KUMALIZA HOTUBA, ANAYEPOKEA ZAWADI NI MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDDI.


MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANUS KAPUNGA AKIMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI HILO KWA KUPEWA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA.

RAISI AKIONESHA GAZETI LA MFANYAKAZI BAADA YA KULIZINDUA.

RAISI KIKWETE HAKUSITA KUMKUMBUKA RAFIKI YAKE MGAYA KWA KUMKABIDHI CHETI KWA NIABA YA TUCTA.

Picha na Mbeya yetu

Post a Comment

 
Top