Menu
 

 "Tuanzie huku jamani," Ni kama wanasemezana katika kupangia majukumu ya usafi, Ni umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu Iringa wamefanya usafi katika Hospitali ya Rufaa mkoni Iringa, hiyo ikiwa ni njia yao ya kusherekea siku ya Wafanyakazi Mei mosi.
 Wanachuo wakiondoa uchafu katika viunga vya maua katika Hospitali ya Rufa mkoa wa Iringa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu naye           hakubaki nyuma katika zoezi hilo.

 "Tunafagia, tunakusanya, tunazoa na kisha tunazipeleka takataka zinakostahili,"

 Kazi kwa hiari huleta furaha na upendo.
Akizoa takataka, baada ya kufagia

Mwenyekiti Msambatavangu  akishirikiana na wanavyuo katika kufanya usafi.
 "Hadi nje ya Hopitali leo tunafagia, tumepania Usafi tu leo....,"


 "Sichoki na wala siwaachi pekeenu Ng'o katika zoezi hili, hapa hadi mwisho wa zoezi, ," Ni kama anasema Mwenyekiti Jesca Msambatavangu.
 Majembe, fagio, na chochote kipaswacho kwa usafi kilitumika.
"Sasa twende tukatupe takataka," Ni kama wanasemezana hivyo baada ya kumaliza kusafisha maeneo ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa. 

(Picha na Oliver Moto Blog)..

Post a Comment

 
Top