Menu
 

KUSHOTO MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI IKUTI JIJINI MBEYA NA LUSHINDIHO SIMKONDA MIAKA 10 HUYU HASOMI KABISA SHULE HAPA WAMEAJIRIWA KUBEBA TOFARI KWA UJIRA WA SHILINGI 30 TU KWA TOFARI MOJA

HUYU NI ANNA  SAIMON MIAKA 8 NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IKUTI DARASA LA TATU  AKIWA AMEBEBA TOFARI MBILI ZINAZOKADIRIWA KUWA NA UZITO WA KILO 10 


WATOTO HAWA TULIPOWAULIZA KWANINI MNABEBA TOFARI HIZI MUDA WA KUWA SHULE WALITUJIBU KUWA TUNATAFUTA HELA ZA DAFTARI KWANI WAZAZI WETU HAWANA UWEZO WA KUTUNUNULIA

WATOTO HAWA TULIWAFUATILIA AMBAPO WALITEMBEA KWA UMBALI WA MITA 500 KUZIFIKISHA TOFARI HIZO HUKU JUA KALI  LIKIWAWAKIA NA BILA YA KUWA NA VIATU MIGUUNI MAJIRA YA SAA 7 MCHANA WENZAO WAKIWA MADARASANI 


MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 AKILIA BAADA YA KUELEMEWA NA UZITO WA TOFARI ALIZOBEBA KWANI AKIZIVUNJA TU HAWEZI LIPWA PESA YAKE JAMANI INAUMA SANA WAHUSIKA MPO WAPI? JUU YA SWALA HILI LA AJIRA KWA WATOTOKUSHOTO NI FREDRICK SIMON MIAKA 12 AKIMSIHII COLNSY ASILIE KUWA SASA ANAKARIBIA KUFIKABINTI HUYU AMETOKA KUCHOTA MAJI MTO NZOVWE


Picha na Ezekiel Kamanga

Post a Comment

 
Top