Menu
 

One day i will share this experience...during mazishi ya kaka yangu Ngwair kuna mda niltafuta chemba kuvuta fegi pale makaburini..kuna Bibi moja,akaomba chupa yangu ya maji nimpe nikimaliza(Alikuwa anakusanya chupa tupu za vinywaji) nikamwambia ntampa nikimaliza (..nilivyomaliza fegi akaniuliza sasa hivi saa ngapi? nikamuambia saa 9 kasoro..akasema "Mangwea anakaribia"..dakika 25 baadae mwili wa marehemu ukafika pale (Baada ya kusubiri karibu masaa matatu toka niwahi makaburini sababu uwanjani ilikuwa nomaa) palikuwa hapatoshi...nashukuru nilipata hata nafasi ya kubeba jeneza dakika za mwisho"
Only if my Brother was brought back for few minutes to see the love he had from his people"..nimesukuma watu,mpaka watoto nimewafukuzuka watoke eneo la tukio..it was too crazy! Kweli M2 wa watu! BodaBoda ndio usisemee!..."Am sure if he saw it, he smiled..." WASANII tumeonyesha ushirikiano mzuri sana! Big Up to kamati na wadau wote!.."Huu mziki tunaudai na uko powerful kuliko politics behind it"..let this be a SPARK!...NGWAIR.."Najua uko around mazee" mpaka siku ya mwisho..tutaonana tu! #PumzikaBro

Post a Comment

 
Top