Menu
 

 Jengo la Mahakama Kuu Mkoa wa Mbeya
Jaji ya Mahakama ya Rufaa Tanzania Muheshimiwa Rutakangwa akitambulishwa Gwaride la ufunguzi wa uskilizwaji wa kesi za Rufaa Mkoani Mbeya
Jaji ya Mahakama ya Rufaa Tanzania Muheshimiwa Rutakangwa akikagua Gwaride la Askari 32 wa kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoani Mbeya

Askari wakiwa wametulia Baada ya ukaguzi
Ukumbi wa Mahakama kuu ambao kesi zitakuwa zinasikilizwa

Msajili wa Mahakama Muheshimiwa Aaron Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo.


Wafanyakazi wa Mahakama Kuu Mkoani Mbeya wakiangalia Gwaride nje ya Jengo la Mahakama
Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakibadirishana mawazo ndani ya Jengo la Makama 

Baadhi ya waandishi  wa Habari wakiwa katika ofisi ya Msajili wa Mahakama Kanda ya Mbeya Aaron  Lyamuya.

Picha na Ezekiel Kamanga, Mbeya.

Post a Comment

 
Top