Menu
 

Mzigo huo hapo Ijumaa hii 28 - 6 - 2013 REDD'S MISS KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI Kuanzia saa 1:00 USIKU ndani ya Ukumbi wa MTENDA SUNSET. Warembo 18 kutoka mikoa ya Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Njombe na Ruvuma ndani ya Stage moja katika Kinyang'anyiro hicho. Kiingilio ni kama Ifuatavyo VIP Tsh 25,000/= pamoja na CHAKULA BURE na KAWAIDA Tsh 10,000/=

Burudani FM ACADEMIA watakuwa wakisindikiza burudani safi kabisa.... REDD'S MISS KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI. Imedhaminiwa na REDDS, MOUNTAIN DEW, MICHUZI MEDIA GROUP, BOMBA FM, MAN COMPANY LTD, EBONY FM, SWEET FM & ROCK FM....... Karibuni Njoo ushuhudie mwenyewe nani kuibuka mshindi?.

Post a Comment

 
Top