Menu
 
Kwanini wasanii hawasaidii katika ujenzi wa taifa, na nini wafanye? Darasa la Wiki ya KLB ya Bomba FM 104.0MHz Sponsored by Airtel Yatosha.
 • Afande Sele The'King wasanii wenyewe wa tz hawajawekewa mazingira ya kupata na kulindwa kwa haki zao kwa kuwa hata sheria zilizopo hazilindi haki za wasani lkn hata hivyo bado wasanii wanachangia sana maendeleo ya taifa kwa kuwa kupitia sana zao wanaelimisha taifa ktk mambo tofaut kama amani,elimu nk pia wanapofanya show mahali zile kumbi zinalipa kodi na waandaaji wanalipa vibali vya serekali,vinywaj,gest,usafiri vyote vinatumika kwa wing wkt wa matamasha na vinalipiwa kodi na vinaleta ajira kwa jamii mf bar med,wauza vyakula nk,sasa zaid ya hapo ni kuwaonea tu kwa kuwa bht mbaya tz msani anafanywa kama samaki,analiwa huku anajiona lkn machoz yake yanakwenda na maji ndio mana kila mtz kuanzia raia mpaka viongoz wanaiba kaz za wasanii iwe ktk mitandao au cd fek lkn hakuna anaewalilia ingawa msani akikosea tu kila mtu atamdis wkt bnadam wote hukosea,tupiganie haki zao kabla ya kuwalaumu tuu
 • Greyson Chris Bee Salufu poa asante sana kwa kutufungua Mkuu amani sana ndugu yangu, kwa kupitia mchango wako leo na imani tumepata mwanga na uelewa juu ya Mada hii pamoja.. Afande Sele The'King
 • Afande Sele The'King hata hizo bata wanazokula zinalipiwa kodi tena ukizingatia bata za wasani wengi ni bia wao na watu wao kibao si ajabu msani na wapambe wake wakatumia mpaka laki 3,4 had tano kwa usiku mmoja na ktk bar/ukumbi mmoja sasa piga hesabu hizo laki tatu zina kod ngp ya serkali na zitalipa mshahara wahudumu wangap,hata serkali yenyewe kila mwaka inategemea kodi za pombe/fegi kuendeshea nch na wasani ndio wala bata wakubwa sasa huoni kama wanamchango mkubwa ktk ujenz wa taifa,wkt flani tujilazimishe kufikiri wandugu,kila mtu ktk taifa ananafas yake ktk kuchangia ujenz wa taifa tusiwageuze wasanii wetu kama jalala machafu yote wanatupiwa wao huku tukiacha wanasiasa mafisad wakihujumu uchumi kwa kuficha madola yetu nch za nje
 • Greyson Chris Bee Salufu Okay Kama kilio cha wasanii juu ya utetezi katika lawama zinazoelekezwa kwake ni wachache sana ambao huchukua nafasi na kuielimisha jamii juu ya lawama hizo ili wapate kufahamu, lakn pia katika Ujenzi wa taifa tunazungumzia hata kuisaidia jamii mfano Ukatili wa Kijinsia na watoto, Watoto waishio katika mazingira hatarishi, namna ya kuepukana na magonjwa ya Zinaa.... Sasa kama kioo cha jamii mnatakiwa kurudi nyuma na kuendeleza harakati ili kuiokoa jamii juu ya kuepukana na majanga na sio kujikitika katika Ujumbe mmoja....Afande Sele The'King
 • Afande Sele The'King amani kwako salufu ndg yetu,huo ni mtazamo wangu kidogo kaka
 • Greyson Chris Bee Salufu Mtazamo ni mzuri sana mkuu ila Wewe ni kioo cha Jamii Dats why ukakaa na kutafakari ni janga lipi linaloimaliza nchi kwa sasa ndio maana ukatoa Ujumbe wa DINI TUMELETEWA sasa wananii wengine waige mfano wako kwa kutoa nyimbo zenye Ujumbe ulio na Uhalisia na matukio yalnayoiangamiza Nchi..... Afande Sele The'King
 • Djkatoto Isanga Mbeya Kaka afande ni ngoma gani inakuja kaka@king dom
 • Patric Mutta · Friends with Afande Sele The'King
  Thatz the big lesson, lkn kwann wasanii wasiungane kuandika hata song la kuwachana mafisad kuliko kuc fia akina wema na upuuzi wa tz, ata mkifanya joint ya wagumu na wabana pua mkaweka itkad pemben then mkacmamia jambo moja hamuon mnaweza kubadilisha kitu flan kwenye taifa hli? badiliken bhana ata km wengne hawana shule lkn lazimisha hvohvo, we need changes bhana upuuzi kwisha!
 • Martin Poul kafunguka mkuu!

Post a Comment

 
Top