Menu
 

Mgeni rasmi meya wa jiji laMbeya Athanas Kapunga  akisalimiana na wachezaji wa Mbeya city kabla ya mechi kuanza

Meya wa jiji la Mbeya akiongea na timu zote mbili


Wachezaji wa timu ya Mbeya city wakishangilia ushindi baada ya kuitandika Ruvu shootingKocha wa timu ya Ruvu shooting Charles Boniface Mkwasa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya mpira kwisha

Kocha wa timu ya Mbeya city Mwambusi akiongea na waandishi wa habari

Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Musa akimtania kocha wa timu ya Ruvu Charles Mkwasa 


TIMU YA MBEYA CITY IMEISHINDA KWA MAGOLI MAWILI DHIDI YA MOJA YA ROVU SHOOTING WAFUNGAJI WA MBEYA CITY NI PAUL NONGA DK 7 NA STEVEN MAZANDA DAKIKA YA 90 NA GOLI LA KUFUTIA MACHOZI LA RUVU LIMEFUNGWA NA AYUBU KITALA DK 25

Na Mbeya yetu

Post a Comment

 
Top