Menu
 


Mfuko wa hifadhi ya wanyama pori nchini umekiri kukabiliwa na changamoto kubwa ya ujangari na kwamba umeeleza mikakati wanayofanya katika kutatua ama kupunguza tatizo hilo.Mkurugenzi msaidizi usimamizi ujangiri idara ya wanyama pori Paul Salakikya ametaja mambo yanayochangia kuongezeka kwa changamoto hiyo ikiwa sambamba na hatua wanazochukua kwa mwaka wa fedha 2013/2014.Ametaja idadi ya watumishi wanaohitajika katika kukabilia na changamoto hizo ni 4855 na waliopo sasa sio zadi ya 1200.Hata hivyo wamepongeza serikali kwa kuwapa kibari cha kuajiri watumishi 500 katika mwaka wa fedha 2013/2014 na kwamba wataendelea kuajiri idadi hiyo kila mwaka mpaka watakapofikia malengo.

Post a Comment

 
Top