Menu
 


BRky9_MCAAAQZ6e

Photos: Video Ya kukunja Goti Ya MwanaFa & AY Yafanyika Nchini South Africa

Show Ya South Africa ya MwanaFa na Ay haikuwa Show iliyofanyika bila wawili hao kufanya kitu nchini SA. MwanaFa na Ay walikutana na J martins na kufanikiwa kushoot Video ya Track yao ya Pamoja “Bila Kukunja Goti ambayo walimshirikisha J Martins na ngoma hiyo akiwa ameifanya Marco Chali.
Check Photos'
4d4ddf6a044111e3ab3c22000a1fc513_7 87e2dece046d11e388fb22000ae911cc_7 BRkEQttCYAAkLiE BRkFIc2CUAANAG3 BRkfZ2rCAAAow0G

Post a Comment

 
Top