Menu
 

STORY KWANZA - JOSLIN.
Hitmaker wa Itika Joslin amesema yeye hajifananishi na Msanii yeyote hapa Bongo, kwa sababu yeye ana ladha tofauti katika ngoma zake ambayo hukatisha kiu ya mashabiki wa muziki ambao wanahitaji kuona uhalisia wa msanii juu ya kile anachokiimba....
 
STORY YA PILI- CHRIS WA MARYA. 

Hitmaker wa Kilometer 6, Sinyorita na nyinginezo track kibao CHRIS WAMARYA kutoka Mji kasoro bahari, amedai kuwa ataendelea kuimba muziki wenye ladha ya bongo ili hata wasanii wa Kimataifa wapate kuuiga.... 
 STORY YA TATU- KABAGO.
  Rapper KABAGO wa BMW amesema anamshukuru Mola kwa kumpa uhai mpaka sasa na madaktari walioweza kumtibu haraka  na kumsababishia kuendelea vema, kufuatia ajali iliyotokea Jumapili eneo la Msituni wakati yeye pamoja na wasanii wenzake wakitokea Geita katika show kuelekea Airpot Mwanza.
 
NB:-Pia VUMBE na PNC wameweza kuzungumzia ajali hiyo.

STORY KAMILI WASIKILIZE HAPA WAKIZUNGUMZA:- KAMA ULIKOSA KUMSIKILIZA MAHOJIANO NA JOSLIN, CHRIS WAMARYA, KABAGO, VUMBE NA PNC KATIKA CHUMBA CHA SINDANO - BOMBA FM 104.0MHz WASIKILIZE HAPA.

Post a Comment

 
Top