Menu
 

Mtamaduni Muzik ambaye ni Hitmaker wa YOUNG GIFTED & BLACK hapa ONE INCREDIBLE amezungumzia Albamu yake ya pili ya R.A.P ikiwa na maana Representing Africa Popote itakayotoka NOVEMBER 6 Mwaka huu ikiwa na mashiko kwa kila rika.

Akizungumza na Chumba Cha Sindano katika Kipindi cha Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya alikuwa na haya ya kusema..... BOFYA HAPA KUMSIKILIZA

Post a Comment

 
Top