Menu
 TNG SQUAD Crew member  CHIWAMAN ameeleza kuwa anajisikia mwenye furaha kuwa katika mahusiano na mwanamke maarufu kama ROSE NDAUKA na haoni kama kuna tatizo lolote ambalo litaweza kumuathiri kushindwa kuendelea na kazi zake za muziki na maisha kwa ujumla.


 Akikiambia Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya kupitia kipengele cha Chumba Cha Sindano, baada ya kuuliza kuwa mahusiano ya kimapenzi baina ya mtu/watu maarufu huwa hayadumu? Alikuwa na haya ya kusema………Katika upande wa pili wa Maisha ya muziki amesema kuwa ukimya wa kundi lao la TNG SQUAD umeweza kuwaharibia network kuwa ya gemu kwani hata walioanza nao katika gemu hivi sasa ni mabosi……….CHIWAMAN amesema pia ukimya huo mekuwa ni kama funzo kwao na wameichukulia ni kama changamozo na hapa anafafanua zaidi…….


Hata hivyo ameweza kuwataja wasanii wanao unda kundi hilo na ujio wao mpya baada ya Crazy man.

Post a Comment

 
Top