Menu
 Hitmaker wa “Vumilia”, “Wife” na “My Number 0ne” NEMO anafikiria kuirudia miondoko ya RNB aliyokuwa akiifanya zamani  mpaka kufikia mwezi  Aprili au Juni 2014 lakini kwa sasa ameamua kuimalizia miondoko ya Afro Pop kwa ujio wa track yake mpya ya KOLO KOLO itakayotoka mwezi Novemba.Akipiga stori na Chumba Cha Sindano kupitia kipindi cha Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya na hapa anafafanua zaidi kiundani ikiwa ni pamoja na mapokeo ya video yake ya My Number One aliyoiachia wiki mbili zilizopita…..Hata hivyo NEMO nilivyomuuliza wimbo huo utakuwa mandhari gani kufikisha hadhira/funzo kwa jamii alikuwa na haya ya kusema…..

Post a Comment

 
Top