Menu
 Hitmaker  wa Mama Yoyoo ambaye pia ni Crew member wa Nako 2 Nako Soldier G NAKO a.k.a G WARAWARA  kutoka R CHUGA ameeleza kupendezwa sana muziki wa HIP HOP pamoja na REGGAE kwa sababu ukweli unabaki kuwa ni muziki wa kuelemisha, kuburudisha na unaoelezea uhalisia kutokana na kufuata misingi na maadili ndicho kinachomfanya aendelee kubaki katika miondoko hiyo tu.

Akipiga stori na Chumba Cha Sindano kupitia Kipindi cha Kali za Bomba ya Bomba FM 104.0MHz G NAKO na hapa unamsikia akitolea ufafanuzi pamoja na michakato inayofuata hivi sasa ni kushuti video mbili za track  ya Wara wara na mpira na Mister Loverman…………
Aidha G NAKO akizungumzia kuhusu kundi la NAKO 2 NAKO SOLDIER kuwa wakati wowote kuanzia sasa wataachia ngoma moja wapo ya kundi hilo, licha ya kuwa kuna track nyingi za kukamilisha albamu yao…..

Post a Comment

 
Top