Menu
 

Mwalimu kambarage
Hili ni gari ambalo marehemu baba wa Taifa ambae leo anatimiza miaka 14 tangu kufariki kwake alilitumia wakati anapelekwa Airport kwaajili ya matibabu.
Gari hili lipo Makumbusho ya Taifa Dar es salaam.
 Hili ni gari ambalo lilikuwa likitumiwa na baba wa Taifa kwaajili ya shughuli za Jumuiya ya Africa ya Mashariki
Hili ni gari lililotumika na baba wa Taifa kwa shughuli za Serikali
Gari lingine nalo lililokuwa likitumiwa na baba wa Taifa kwa shughuli za Serikali

Post a Comment

 
Top