Menu
 Mwimbaji Wa muziki wa kizazi kipya aliyefanya vizuri kupitia Ngoma ya Nalivua Pendo, Sio Kisa Pombe, Mapito na nyinginezo MWASITI amefikisha ujumbe kwa vijana muziki hauwezi kutiririka kama maji, ila siri kubwa ya mafanikio ni juhudi, kujituma na kujitambua unataka nini katika tasnia ya muziki.Akipiga Stori na kipengele cha Chumba Cha Sindano kupitia kipindi hiki cha Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya mwanadada MWASITI anayetokea jumba la Vipaji THT hapa msikilize anafafanua zaidi  na vilevile akijitofautisha uwezo wake na msanii mwenzie RECHO…..Aidha MWASITI akielezea chanzo cha ukimywa wake ikiwa mashabiki wake wanashauku ya kutaka kumsikia akija na ujio wake mpya katika gemu la muziki wa kizazi kipya na hapa anawatoa wasiwasi tumsikilize…

Post a Comment

 
Top