Menu
 


Hitmaker wa NAMPENDA YEYE, NIPE MIMI, AMEKOMA, ambaye pia ni TMK Family Crew Member MH.TEMBA  amekanusha vikali kubebwa katika nyimbo na msanii mwenzake CHEGE na kudai yeye ana uzofe mkubwa na anajua mwenendo wa muziki tokea zamani.
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA.
Akipiga stori na Chumba Cha Sindano kupitia kipindi cha  Kali za Bomba hapa Bomba FM 104.0MHz Mbeya ameelezea pia sababu ya kushindwa kuachia albamu mwezi wa nne mwaka huu kuwa mauzo mabovu sokoni na pia amesema nyimbo zake nyingi hutumia misemo yenye mafumbo ili kuleta mada kwenye vichwa vya watu na sio matusi kama inavyodhaniwa.
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA.

Hata hivyo Temba amesema nidhamu, kujituma na uvumilivu ndio siri kubwa ya mafanikio ya kundi la TMK Wanaume Family na makundi mengine ambayo mpaka sasa yanadumu.
 BOFYA HAPA KUMSIKILIZA.

Post a Comment

 
Top