Menu
 


Kwa kugundua umuhimu wa Afya na  matatizo yanayowakabili ndugu zetu walio magerezani (WAFUNGWA)

ChingaOne blog na marafiki zake wanakualika kwenye kampeni ya 
VAA KANDAMBILI 

Ukiwa kama Ndugu, Rafiki wa karibu na  Jamaa wa Wafungwa au ChingaOne blog 
tunaomba mchango wako katika kampeni hii

Tunaomba msaada wa pea kuanzia moja ya Kandambili ili iweze kuwasaidia ndugu zetu 
leo na kesho

Changia sasa! Changia leo! 
kwani Afya ni haki ya kila mtu

kwa maelezo kuhusu kuchangia Kampeni hii tuandikie kwa barua pepe
chingaone @gmail.com
au piga simu kwa No.
0712221744
0787221744
0754798920

Afya ni  haki ya watu wote
Nunua kandambili leo

Waliochangia hadi sasa

1. Jennifer Livigha ....................... Pea 10 (Bata)
2. Leah Mtalai ...................... Tshs. 2,000 (pea 1 Bata..... Salio Tshs. 200/=
3. George Ndosi ................... Tshs. 15,000 (pea 8 .... Bata) Salio Tshs. 600=
4. Fazy Kary ........................Tshs. 5,000 (Pea 2 ..... Bata) Salio Tshs. 1,400=
5. Salio (200+600+1400) .... Tshs. 2,200 (Pea 1..... Bata ) Salio  Tshs. 400

Nia na madhumuni yetu ni kukusanya kandambili  - 1,000
Kandambili tulizokusanya hadi sasa  ni pea -   22
Bado kandambili pea  - 978


Asanteni Sana!

Post a Comment

 
Top